[wanabidii] KUHUSU TAMKO LA CCT

Saturday, September 06, 2014
Naunga mkono uandaaji wa katiba ya wananchi iliyojengwa kwa misingi ya wananchi, baada ya viongozi wa dini waliopo ndani ya Bunge Maalumu ya Katiba kutoa tamko la namna gani wanawawakilisha waumini wao na kwa kushitua tayari viongozi wa dini ambao wapo nje ya bunge maalumu la katiba kuwa hawawatambui basi nimepatwa na hofu kuwa katiba tuitakayo haitapatikana leo au kesho, inakuwaje watu hawamwogopi Mungu? 

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments