KIGOGO WA CHADEMA MKOA WA TANGA , PHILIPLULINDA , AJIONDOA CHADEMA
Nimeamua kujitoa katika chama cha chadema, nimejitoa mwenyewe , nimekuwa kiongozi wa vijana wa wilaya, katibu mwenezi wilaya ya Lushoto na kamanda wa red briged wilaya. CHADEMA nilifanya mengi ila CHADEMA nimegundua sio chama cha kupewa nchi hii kuingoza. Naondoka chadema kwani hata chaguzi zao niza kibaguzi , uchaguzi wa wilaya ya Lushoto ulitangazwa tarehe 5 mwezi wa 9 2004,usiku mda wa saa kumi na nusu kwa njia ya sms na ukafanyika tarehe 6 mwezi wa 9 2014.
Huu ni uchaguzi wa chama ama ni uchaguzi vilabu vya pombe? Chadema wanaimba eti ni chama cha demokrasia mimi nasema chadema ni genge la watu na sio chama. Mtu mwenye maono na mkweli hawezi kuwa kiongozi wa chadema. Atapigwa mikwara hadi atoke. Najiondoa chadema na sasa ntakuwa act ndio chama makini.
Baada ya kupost kwenye fb yangu nimepkea matusi mazito ya nguoni kutoka kwa watu wanaojiita wanachadema, sasa ndio tuseme hiki ni chama ama ni genge? Kwa matusi yao tu inatosha kuwanyima uongozi hapo 2015. Ntaitumikia ACT kwa moyo wangu wote. Nilijiunga CHADEMA mwaka 2005 hadi juzi nikijitoa nime uzulia mikutano na kampeni za arumeru, kampeni za Lushoto zote na CHADEMA ni msingi.pia mimi niliwezesha CHADEMAkupata vijiji baadhi vya jimbola lushoto. Najiunga na ACT. Mimi Philip Lulinda. CHADEMA kadi number no 218734
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments