BONDIA MAARUFU WA KIKE BINTOU YAWA SCHMILL "THE VOICE" ULINGONI 26.9.2014 FRANFURT,UJERUMANI
-- Bondia maarufu wa kike mwafrika barani ulaya Bintou Yawa Schmill aka "The Voice" anatarajiwa kupanda ulingoni tarehe 26 September 2014, atapambana na bondia Mirjana Vujic katika ukumbi wa Stadthalle/ Saalbau Frankfurt-Nied, Mjini Frankfurt ujerumani.
Bondia Bintou Yawa Schmill aka "The Voice" mzaliwa wa Togo ambaye anapigia uzito wa Welterweight -64 Kg, urefu mita 1.71 historia yake hapo mwanzo alikuwa bondia wa ngumi za ridhaa kwa muda miaka mitano,kuanzia mwaka 2007 alianza kuingia katika ngumu za kulipwa (professional boxer) amepigana (fights) 8 kashinda 7(wins) kashinda kwa
K.O.s 7.
Bondia Bintou Yawa Schmill ni juzi tu katimiza umri wa miaka 30,mwanafunzi wa chuo kikuu cha Bremen na ndiye aliyelipamba jarida la maarufu la warembo "Penthouse",bondia huyo wa kike anayeiliwakilisha bara Afrika Ughaibuni mara nyingi amefananishwa
na SIMBA (Bintou is the Lioness),Simba ambaye ukimuona mpishe njia ulingoni. Bintou "The Voice" Schmill sasa kapania kuweka rekodi ya kuwachapa wapinzania wake kila kona duniani !
Mengi kuhusu bondia Bintou Schmill aka 'The Voice" usikose at
For more information write to
http://www.facebook.com/schmillbintou but first all visit the lion queen on http://www.bintou-schmill.de/ also http://www.twitter.com/schmillbintou
Africans support your children and make them proud NOW! http://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=iEmjbWJr
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments