[wanabidii]

Tuesday, August 19, 2014
Ni kweli dada Ananilea. Diaspora ni watafutaji. madai ya kuwekeza nchi ni janja tu ya kutaka maslahi ya nchi mbili ili kupanua wigo wao wa maslahi. Ndiyo maana hata wananchi kupitia Tume ya Warioba walikataa uraia pacha kwa sababu unakosa uzalendo.
Please read my article on The citizen on Sunday -coming Sunday.
Mwassa. 

Share this :

Related Posts

0 Comments