[wanabidii] Ziko njia nyingi za kufikia jibu hilo hilo moja

Tuesday, August 19, 2014

Nimeipenda sana hekima hii.

1 + 8 = 9.
2 + 7 = 9.
3 + 6 = 9.
4 + 5 = 9.
1 * 9 = 9.
3 * 3 = 9.
Na kadhalika na kadhalika.

Ziko njia nyingi za kufikia jibu hilo hilo moja. Heshimu mawazo na mtazamo wa watu wengine hasa kama lengo na nia ni kufikia jibu hilo hilo moja lililokusudiwa. Kuna namna zaidi ya moja ya kuangalia jambo na sio lazima kila mtu aone unavyoona.

Ukiangalia hiyo mifano niliyotoa hapo juu yote ni sawa na yote imefikia hilo hilo jibu moja la tisa.

Using'ang'ane sana na njia yako angalia pia na zingine kama zinafikia jibu hilo hilo ambalo walikusudia.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments