Katika Taifa lolote vijana wana sifa kubwa tatu:-
Kwanza wana uwezo mkubwa wa kuchangia maendeleo ya taifa kulingana na vipaji, elimu na uwezo walionao.
Pili vijana ni chimbuko kubwa la mabadiliko kwa vile ni rahisi kwao kuendana na mabadiliko ya wakati.
Tatu vijana wana uwezo mkubwa wa kufanya utaifiti na uchambuzi kuhusu mambo mbalimbali ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kitaifa kwa ujumla.
Dhana ya kusema kuwa vijana ni taifa la kesho ni dhana potofu. Vijana ni sehemu muhimu sana ya taifa la leo. Hata watoto ni sehemu ya taifa la leo na sio taifa la kesho.
Kutokana na sifa hizi vijana wana nafasi kubwa ya kutoa mchango katika kuimarisha na kuendeleza nchi yetu ya Tanzania.
Je, Kama kijana Jukumu lako ni nini katika kuijenga nchi ya Tanzania?
Kama Wasomi tunaweza kufanya nini ili nchi yetu iweze kuendelea?
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments