Hebu wadada mnisamehe bureee msione nawasema sana napenda tujiheshimu na tuheshimike.
kuna hili naomba tuongee japo wengine mtanichukulia vibaya ndo nishaomba msamaha mapemaaaaa
WADADA KUOSHWA MIGUU
Jamani hivi wadada tumekumbwa na jinamizi gani linatupeleka puta hivi
mwanamke kabisa unanyoosha miguu sehemu ambayo ina hisia za tendo la ndoa kisha unaoshwa unasuguliwa na kuwekwa mapajani mwanaume si wako tena kijana ambaye hata sijui nisemeje.
Wamama wengine wanaokutwa majumbani anajifunga na kanga au kitenge kimoja ndani hamna kitu halafu unainua mguu khaa.
kweli mwanamke mwenye heshima zako unawezaje,
na nyie wanaume kweli mke wako unaempenda unakubali akaoshwe miguu duuh.
na kama hamfahamu hao vijana wa urembo wanawatolea siri zenu zote wengine mnalazimisha kutembea nao aibuuu jamani.
mdada kama mguu wako unashindwa kuusafisha utaweza muhudumia mume ndani ya nyumba?
Mmmhh! Ndio maana wengi tunafanywa dala dala
-- kuna hili naomba tuongee japo wengine mtanichukulia vibaya ndo nishaomba msamaha mapemaaaaa
WADADA KUOSHWA MIGUU
Jamani hivi wadada tumekumbwa na jinamizi gani linatupeleka puta hivi
mwanamke kabisa unanyoosha miguu sehemu ambayo ina hisia za tendo la ndoa kisha unaoshwa unasuguliwa na kuwekwa mapajani mwanaume si wako tena kijana ambaye hata sijui nisemeje.
Wamama wengine wanaokutwa majumbani anajifunga na kanga au kitenge kimoja ndani hamna kitu halafu unainua mguu khaa.
kweli mwanamke mwenye heshima zako unawezaje,
na nyie wanaume kweli mke wako unaempenda unakubali akaoshwe miguu duuh.
na kama hamfahamu hao vijana wa urembo wanawatolea siri zenu zote wengine mnalazimisha kutembea nao aibuuu jamani.
mdada kama mguu wako unashindwa kuusafisha utaweza muhudumia mume ndani ya nyumba?
Mmmhh! Ndio maana wengi tunafanywa dala dala
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments