[wanabidii] UKAWA KUFANYA MAANDAMANO NCHI NZIMA YASIYOKUWA NA RATIBA WALA KIKOMO

Tuesday, August 12, 2014

UKAWA KUFANYA MAANDAMANO NCHI NZIMA KUANZIA WIKI IJAYO YASIYOKUWA NA RATIBA WALA KIKOMO.

Mhe James Mbati akisoma Tamko la UKAWA kwa niaba ya Mchumi wa Kimataifa Prof I brahim Lipumba na Freeman Mbowe "Maandamano Nchi nzima na Mikutano ya Hadhara kwa ajili ya kuhamasisha watu kupinga matumizi mabaya ya Fedha za Wananchi katika Mchakato wa Bunge Maalum la Katiba."

Mhe; Mbatia ameendelea kusema "Baada ya kukamilika kwa Mazungumzo yanayoendelea na CCM wiki hii.Hata hivyo Ukawa wamesema,kwa kadiri mazungumzo yanavyoendelea hakutakuwa na tija hivyo ameamua kuweka wazi azma ya kufanya maandamano"

Professa Lipumba amerudia WITO wake wa kuwataka VIJANA kuanza mazoezi ya VIUNGO kwajili ya ukombozi.

Freeman Mbowe amesema NGUVU ya UMMA sasa kutumika ili kuleta UKOMBOZI hakuna kulala mpaka kieleweke kuanzia wiki ijayo.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments