Baada ya viongozi wa CDM mkoa wa Kigoma kujiunga na ACT.
Umefanyika uchaguzi mdogo Jana tarehe 5/8 ukavunjika na kuendelea Leo tarehe 6/8 ukiongoza na Sabrina Sungura.
Uongozi wa kanda umeukataa uongozi uliochaguliwa Jana waliochaguliwa kuongoza mkoa kwa muda ni
Ally Kisala - Mwenyekiti (Diwani wa Mwandiga)
Madede - Katibu (Katibu wa wilaya Kigoma kusini).
Leo wamechaguwa viongozi wa Wilaya Kgm mjini
Aliyekuwa katibu mwenezi ndugu Haji ambaye hakushirikishwa kwenye uchaguzi pamoja na viongozi waliokuwepo kikatiba waliotengwa nasikia wamefungua kesi polisi ya ofisi kuvamiwa na kesho wanaweka zuio la katiba kukiukwa.
Haji ndiye alikuwa anakaimu ukatibu wa wilaya Kgm mjini.
Na zoezi linaendelea kesho wanataka kuchagua wa jimbo la Kgm Kaskazini (jimbo la mbunge Zitto)
-- Umefanyika uchaguzi mdogo Jana tarehe 5/8 ukavunjika na kuendelea Leo tarehe 6/8 ukiongoza na Sabrina Sungura.
Uongozi wa kanda umeukataa uongozi uliochaguliwa Jana waliochaguliwa kuongoza mkoa kwa muda ni
Ally Kisala - Mwenyekiti (Diwani wa Mwandiga)
Madede - Katibu (Katibu wa wilaya Kigoma kusini).
Leo wamechaguwa viongozi wa Wilaya Kgm mjini
Aliyekuwa katibu mwenezi ndugu Haji ambaye hakushirikishwa kwenye uchaguzi pamoja na viongozi waliokuwepo kikatiba waliotengwa nasikia wamefungua kesi polisi ya ofisi kuvamiwa na kesho wanaweka zuio la katiba kukiukwa.
Haji ndiye alikuwa anakaimu ukatibu wa wilaya Kgm mjini.
Na zoezi linaendelea kesho wanataka kuchagua wa jimbo la Kgm Kaskazini (jimbo la mbunge Zitto)
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments