[wanabidii] TPB Yajenga Vyoo na Mfumo wa Maji Shule ya Msingi Kipampa

Wednesday, August 20, 2014
[caption id="attachment_49837" align="aligncenter" width="640"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/E80A5619.jpg" alt="Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi akikata utepe kuzindua msaada wa vyoo na mfumo wa maji safi kwenye shule ya Msingi Kipampa, Kigoma. Wa kwanza kulia ni Meneja wa Benki ya Posta Tawi la Kigoma, Fidelis Ndahani." width="640" height="427" class="size-full wp-image-49837" /> Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi akikata utepe kuzindua msaada wa vyoo na mfumo wa maji safi kwenye shule ya Msingi Kipampa, Kigoma. Wa kwanza kulia ni Meneja wa Benki ya Posta Tawi la Kigoma, Fidelis Ndahani.[/caption][caption id="attachment_49838" align="aligncenter" width="640"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/E80A5596.jpg" alt="Naibu Mstahiki Meya wa Kigoma, Mh. Ruhomvya Rashid Ruhomvya, akisikiliza hotuba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi, wakati wa sherehe ya makabidhiano ya msaada wa Vyoo na mfumo wa maji kwenye shule ya Msingi Kipampa. Wengine kutoka kulia ni Meneja Mahusiano wa TPB, Noves Moses na Meneja wa TPB, Tawi la Kigoma, Fidelis Ndahani." width="640" height="413" class="size-full wp-image-49838" /> Naibu Mstahiki Meya wa Kigoma, Mh. Ruhomvya Rashid Ruhomvya, akisikiliza hotuba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania (TPB), Sabasaba Moshingi, wakati wa sherehe ya makabidhiano ya msaada wa Vyoo na mfumo wa maji kwenye shule ya Msingi Kipampa. Wengine kutoka kulia ni Meneja Mahusiano wa TPB, Noves Moses na Meneja wa TPB, Tawi la Kigoma, Fidelis Ndahani.[/caption][caption id="attachment_49835" align="aligncenter" width="451"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/E80A5626.jpg" alt="Naibu Mstahiki Meya wa Kigoma, Mh. Ruhomvya Rashid Ruhomvya akifungua bomba la maji kwenye mojawapo wa vyoo vilivyokarabatiwa na Benki ya Posta kwenye Shule ya Msingi Kipampa, Kigoma. Wanaotazama ni Afisa Mtendaji Mkuu wa TPB Sabasaba Moshingi Mkuu wa shule ya Kipampa." width="451" height="640" class="size-full wp-image-49835" /> Naibu Mstahiki Meya wa Kigoma, Mh. Ruhomvya Rashid Ruhomvya akifungua bomba la maji kwenye mojawapo wa vyoo vilivyokarabatiwa na Benki ya Posta kwenye Shule ya Msingi Kipampa, Kigoma. Wanaotazama ni Afisa Mtendaji Mkuu wa TPB Sabasaba Moshingi Mkuu wa shule ya Kipampa.[/caption][caption id="attachment_49836" align="aligncenter" width="640"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/E80A5634.jpg" alt="Ofisi Mtendaji Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Kipampa baada ya kuwakabidhi vyoo vipya pamoja na mfumo wa maji safi." width="640" height="367" class="size-full wp-image-49836" /> Ofisi Mtendaji Mkuu wa TPB, Sabasaba Moshingi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Kipampa baada ya kuwakabidhi vyoo vipya pamoja na mfumo wa maji safi.[/caption]

--
Joachim Mushi, Mhariri Mkuu wa gazeti tando la Thehabari.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066/ 0786 030066/ 0756 469470
Web:- www.thehabari.com  
          http://joemushi.blogspot.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments