[wanabidii] TGNP na Kongamano la Wazi Kujadili Mchakato wa Katiba Mpya

Thursday, August 07, 2014
TGNP na Kongamano la Wazi Kujadili Mchakato wa Katiba Mpya

[caption id="attachment_49368" align="aligncenter" width="640"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/0016.jpg" alt="Kaimu Mkurugenzi wa Mtandao wa Jinsia Tanzani TGNP, Lilian Liundi (katikati), akitoa hotuba yake wakati wa kongamano la wazi la jamii kujadili mchakato wa kutengeneza katiba mpya. (kushoto), Mdau wa Maendeleo Humphrey Polepole, na kulia Mwanaharakati wa Masuala ya Kijamii na Haki za Binaadamu, Gemma Akimali." width="640" height="430" class="size-full wp-image-49368" /> Kaimu Mkurugenzi wa Mtandao wa Jinsia Tanzani TGNP, Lilian Liundi (katikati), akitoa hotuba yake wakati wa kongamano la wazi la jamii kujadili mchakato wa kutengeneza katiba mpya. (kushoto), Mdau wa Maendeleo Humphrey Polepole, na kulia Mwanaharakati wa Masuala ya Kijamii na Haki za Binaadamu, Gemma Akimali.[/caption]

[caption id="attachment_49363" align="aligncenter" width="640"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/006.jpg" alt="Kushoto, Kaimu Mkurugenzi wa Mtandao wa Jinsia Tanzani TGNP, Lilian Liundi akiteta jambo na Mwanaharakati wa Masuala ya Kijamii na Haki za Binaadamu, Gemma Akimali." width="640" height="430" class="size-full wp-image-49363" /> Kushoto, Kaimu Mkurugenzi wa Mtandao wa Jinsia Tanzani TGNP, Lilian Liundi akiteta jambo na Mwanaharakati wa Masuala ya Kijamii na Haki za Binaadamu, Gemma Akimali.[/caption]

[caption id="attachment_49364" align="aligncenter" width="640"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/0051.jpg" alt="Mwanaharakati na aliyekuwa Mjumbe wa Kamati iliyokusanya maoni ya wananchi katika mchakato wa katiba mpya, Humphrey Polepole akichangia mada katika kongamano hilo." width="640" height="430" class="size-full wp-image-49364" /> Mwanaharakati na aliyekuwa Mjumbe wa Kamati iliyokusanya maoni ya wananchi katika mchakato wa katiba mpya, Humphrey Polepole akichangia mada katika kongamano hilo.[/caption]

[caption id="attachment_49365" align="aligncenter" width="640"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/0041.jpg" alt="Baadhi ya wanaharakati pamoja na wana jamii wakiwa kwenye Kongamano la kujadili mchakato wa kutengeneza katiba mpya kwenye viwanja vya TGNP, Mabibo Dar es Salaam." width="640" height="430" class="size-full wp-image-49365" /> Baadhi ya wanaharakati pamoja na wana jamii wakiwa kwenye Kongamano la kujadili mchakato wa kutengeneza katiba mpya kwenye viwanja vya TGNP, Mabibo Dar es Salaam.[/caption]

[caption id="attachment_49366" align="aligncenter" width="640"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/0033.jpg" alt="Baadhi ya wanaharakati pamoja na wana jamii wakiwa kwenye Kongamano la kujadili mchakato wa kutengeneza katiba mpya kwenye viwanja vya TGNP, Mabibo Dar es Salaam." width="640" height="430" class="size-full wp-image-49366" /> Baadhi ya wanaharakati pamoja na wana jamii wakiwa kwenye Kongamano la kujadili mchakato wa kutengeneza katiba mpya kwenye viwanja vya TGNP, Mabibo Dar es Salaam.[/caption]

[caption id="attachment_49367" align="aligncenter" width="640"]<img src="http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/0023.jpg" alt="Baadhi ya wanaharakati pamoja na wana jamii wakiwa kwenye Kongamano la kujadili mchakato wa kutengeneza katiba mpya kwenye viwanja vya TGNP, Mabibo Dar es Salaam." width="640" height="430" class="size-full wp-image-49367" /> Baadhi ya wanaharakati pamoja na wana jamii wakiwa kwenye Kongamano la kujadili mchakato wa kutengeneza katiba mpya kwenye viwanja vya TGNP, Mabibo Dar es Salaam.[/caption]

Mambo muhimu yaliojadiliwa katika kongamano hilo ni pamoja na ilani ya wanawake katika katiba mpya kuangalia suala la usawa wa kijinsia, wanawake wanapataje haki zao za msingi hasa katika suala la matibabu, uzazi salama, elimu, maji salama, ushiriki wa kutosha katika nafasi za ajira ngazi zote. Mengine ni pamoja na ushiriki sawa katika nafasi za maamuzi na ulinzi wa kutosha kutokana na kukithiri kwa ukatili wa Kijinsia. Kongamano hilo lilifanyika Agosti 6,2014 kwenye viwanja vya TGNP jijini Dar es Salaam. 

_____________________________________________________
Joachim Mushi, Mhariri Mkuu wa gazeti tando la Thehabari.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066/ 0786 030066/ 0756 469470
Web:- www.thehabari.com  
          http://joemushi.blogspot.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments