TAREHE: 09/08/2014
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
YAH: KUOMBA RADHI KWA KUFIKA MAENEO YA BUNGE
Ni kweli nilifika kwa na kujisajili bungeni Dodoma kwenye bunge la katiba.Kuhudhuria kwangu kulitokana na kutokuwa na taarifa za kutosha kutoka kwa viongozi wangu wa chama. Binafsililikwenda Dodoma ili kusubiri maelekezo ya viongozi wangu wakuu.
Baada ya kuwasiliana na viongozi wangu wa Bunge wa Chama ndipo waliponitaarifu kuwa wabunge wa CUF hawatahudhuria kama jinsi ilivyokubaliwa kwenye Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA.Hivyo siku hiyohiyo nilindoka Dodoma na kurejea Dar es Saam na hivi sasa niko jimboni Masasi .Naomba radhi kwa wananchi wote ikiwa kujisajili kwangu bungeni bila kuwa na taarifa za kutosha kumeleta usumbufu kwa chama, familia yangu, UKAWA na wananchi.
Clara Mwatuka
0719568101
Mbunge wa Viti Maalum CUF-Mjumbe wa Bunge la Katiba
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments