[wanabidii] shamba eka 15 kwa milion 7 tu

Wednesday, August 06, 2014
usione ni ajabu mpendwa mteja, nilikua mkuranga kwa siku 2 mfululizo kusaka fursa ili niwa letee as follows,kwanza lazima mjue mkuranga kuna gesi na miaka ya baadae patakua very hot, so nimeweza kutembelea na kuexplore some opportunities kwa upande wa  ardhi as follows:
Mashamba yanapatkana kwa bei nafuu sana, kuna eka 15 zinauzwa kwa haraka sana kwani mwenyewe anadaiwa na bank, haina hati zaidi ya maandishi ya serikali ya kijiji , shamba lipo mkuranga- Kiparang"anda km 4 kuingia ndani, kwa pembeni kuna mto usioisha maji.....fursa ya umwagiliaji
Bei ni mil 7 tu

Pili kuna mashamba ya njiani eka  10 yanayofaa kwa uwekezaji wa yards/sheli na magodown bei zake nio kuanmzia milion 100 kwa heka kwa yenye hati na isio nayo inaanzia mil 50 kwa eka....zipo nyingi sana
Kuna sheli ambayo ni semi finished bei mil 450 tu

kwa anaetaka kupata shamba plot mkuranga alete oda haraka, kuanzia ijuma ntakua kule tena, karibuni sana
wekeza sasa ukiwa na nguvu ukija kuzeeka usiwe na majuto
mbarikiwe sana
mollel
Rock Estate and property management
Sinza, Mori
cell 0652 314181

Share this :

Related Posts

0 Comments