[wanabidii] Mvutano kati ya AG Werema na Sitta.

Tuesday, August 19, 2014
Juzi AG aliitisha mkutano na kusema kama ukawa hawatarudi katiba mpya haitapatikana kwani column ya zanzibar haitimii. Jana Sitta kanukuliwa akisema katiba mpya itapatikana tu na ukawa warudi milango iko wazi lakini hakujibu swali itapatikanaje bila column ya zanzibar kutimia. Je tufuate ya werema kuwa tukarabati tu katiba iliyopo tusonge mbele? Au tufuate ya sitta tupate katiba mpya hata kuwafuata wajumbe mawodini? Je hiyo katiba mpya itahusu zanzibar ambao hawatimii kupitisha katiba mpya?

----------
Sent from my Nokia phone

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments