Mpendwa,
So, je uko salama, je dawa ya meno unayotumia haina kiambata hiki kinachosababisha cancer. By the way, Colgate walifanya utafiti miaka kumi ku develop hiyo ingredient, na wakaiingiza kwenye dawa ya meno ambazo zilikuwa marketed kwenye zaidi ya nchi 100 kabla ya kuomba kukubaliwa kuingiza kiambata hicho kwenye dawa za meno zinazouzwa Marekani. Lakini, kwenye story pia kunaonekana udhaifu wa FDA ya Marekani ambayo inategemea ushahidi wa kisayansi wa kampuni za kibiashara kujua iwapo ingredient zina madhara kwa binadamu ama vinginevyo.
0 Comments