[wanabidii] JAJI MKUU WEREMA KUTOA UFAFANUZI KUHUSU MASUALA YA KISHERIA YANAYOHUSU MCHAKATO WA KATIBA

Friday, August 15, 2014

AG Werema kukutana na Wanahabari kesho Jumamosi, saa 4:30 asubuhi Dar

Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Fredrick Werema atafanya mkutano na Wanahabari kesho, Jumamosi, Agosti 16, 2014 kuanzia saa 4:30 asubuhi. Mkutano huo utafanyika katika ukumbi wa mikutano wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora uliopo Mtaa wa Luthuli, mkabala na Ofisi ya Makamu wa Rais na mita chache kutoka Makao Makuu ya Wizara ya Fedha jijini Dar es Salaam.

Katika mkutano huo, Jaji Werema atafafanua kuhusu masuala ya kisheria yanayohusu mchakato wa katiba.

Miwsho

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments