[wanabidii] ITV kuzoom titi la mwanamke ni ukosefu wa maadili

Monday, August 25, 2014
Katika moja ya habari za itv walizoom titi la mama akinyonyesha tena hiyo habari ilichomekwa na haikuwa na uhusiano wowote na habari kuu, habari ilikuwa harambee ya mkapa mwanza lakini katikati ya habari alionyeshwa mama akinyonyesha na kulikuza titi, yule mama hakuwa sehemu ya wahudhuriaji wa ile harambee.

Katika ustaarabu titi ni sehemu za tupu ya mwanamke na mila za watu kama waarabu akitaka kunyonyesha hufunika tendo hilo kwa nguo kusitiri tendo hilo na wazungu hawezi kamwe kunyonyesha mbele za watu.

Naamini habari ile imetizamwa na watu wengi wenye mila tofauti ikiwemo ya kusitiri mwili na unyonyeshaji, siku ingine zingatieni mila na maadili za jamii, ni hayo tu.
----------
Sent from my Nokia phone

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments