[wanabidii] Exclusive: Mtanzania DABO ametajwa kuwania tuzo za reggae za kimataifa na muziki wa dunia 2014 (IRAWMA)

Wednesday, August 27, 2014
Habari za asubuhi,

Tafadhali pokea CODES tuonyeshe uzalendo kwa Mtanzania mwenzetu

Unaweza kuwa humfahamu kwa vile hana kelele nyingi....TUONYESHE UZALENDO KWA KUMPIGIA KURA SASA

Msanii bora wa muziki wa Reggae Tanzania, DABO (Pichani) amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa, baada ya kuchaguliwa kuwania tuzo kubwa kabisa za reggae za kimataifa na muziki wa dunia 2014 (International Reggae and World Music Awards (IRAWMA).

DABO anawania tuzo hizi katika kipengele cha Mtumbuizaji Mpya Bora, akikabiliwa na ushindani kutoka kwa wasanii MC Norman kutoka Uganda, Alkaline na Kranium kutoka Jamaica na Shatta Wale kutoka Ghana.

Zoezi la kuwapigia kura wasanii hawa kuwawezesha kushinda linaendelea sasa mtandaoni. Link ya kumpigia kura ni: http://www.irawma.com/irawma_vote2014

DABO ametajwa kuwania kipengele cha Best New Entertainer

Kwenye kipengele hicho, DABO anachuana na

* Daniel Bambatta Marley - Jamaica

* MC Norman - Uganda, Africa

* Alkaline - Jamaica

* Kranium - Jamaica

* Shatta Wale – Ghana

Asante kwa Kuunga mkono zoezi zima ndio kama linaanza!

KAWAIDA

10349153_841207622565532_7288991937464718532_n

196441_588093307897900_104541301_n

Zoezi la kuwapigia kura wasanii hawa kuwawezesha kushinda linaendelea sasa mtandaoni. Link ya kumpigia kura ni: http://www.irawma.com/irawma_vote2014

DABO ametajwa kuwania kipengele cha Best New Entertainer

Kwenye kipengele hicho, DABO anachuana na

* Daniel Bambatta Marley - Jamaica

* MC Norman - Uganda, Africa

* Alkaline - Jamaica

* Kranium - Jamaica

* Shatta Wale – Ghana

Asante kwa Kuunga mkono zoezi zima ndio kama linaanza!

Zainul A. Mzige,
Operation Manager,
MO BLOG,
+255714940992.

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments