[wanabidii]

Wednesday, July 16, 2014

Nipo kwenye Mkutano wa Mbunge wa Karagwe (CCM) Mh. Blandes. Kabla ya Mkutano Mh. Mbunge ameingia uwanjani kwa maandamano  ya Magari 2, pikipiki 4 na Baiskeli 1.
Nimeambatanisha picha niliyopiga kutoka Uwanja wa Mpira ulioko katikati ya Mji mdogo wa Kayanga ambako mkutano unaendelea sasa.


Sent from Samsung Mobile

Share this :

Related Posts

0 Comments