[wanabidii] WAANDISHI WA HABARI WA MWANANCHI NA NIPASHE WATWANGANA

Saturday, July 26, 2014
CHAMA cha Waandishi wa Habari mkoa wa Mbeya (MBPC) kimepata aibu ya mwaka baada ya Katibu wake,Emanuel Lengwa ambaye ni mwandishi wa habari wa gazeti la NIPASHE kutwangana ngumi na Mweka Hazina wa MBPC,Brandy Nelson ambaye ni mwandishi wa gazeti la MWANANCHI ofisini wakati wa kikao.Sababu za kutwangana ni mmoja wao kuchelewa kwenye kikao.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

Previous
Next Post »
0 Comments