VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU,VIONGOZI WAO WA
KITAIFA NA MAHALI ZILIPO OFISI HADI JUNI 2014
NAMBA YA USAJILI | JINA NA TAREHE YA USAJILI WA KUDUMU | VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA | OFISI | |
01 | 0000001 | Chama cha Mapinduzi(CCM) 01 Julai,1992 | Mhe Jakaya Mrisho Kikwete (Mwenyekiti) Bw.Abdulrahaman Kinana (Katibu Mkuu) | 1.Kuu Street Dodoma 2.Lumumba Street, Dar-es-Salaam |
02 | 0000002 | The Civic United Front(CUF) 21 Januari 1993 | Prof.Ibrahim Lipumba (Mwenyekiti) Mhe.Seif Shariff Hamad (Katibu mkuu) | 1.Mtendeni Street Malindi Zanzibar 2.Buguruni, Pandya Zanzibar |
03 | 0000003 | Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) 21 Januari,1993 | Mhe.Freeman Aikael Mbowe (Mwenyekiti) Dr.Wilbroad Peter Slaa (Katibu Mkuu) | Ufipa Street Kinondoni, Dar-es-Salaam |
04 | 0000004 | Union for Multiparty Democracy(UMD) 21 Januari,1993 | Bw.Salum S Alli ( Mwenyekiti) Bw.Kihanira Kalunge Kibaya (Katibu Mkuu) | Mkuranga Street,Mji Mpya Temeke, Dar-es-Salaam |
05 | 0000005 | National Convention for Construction and Reform(NCCR-Mageuzi 21 Januari,1993 | Mhe.James F.Mbatia (Mwenyekiti) Bw.Mosena J.Nyambabe (Katibu Mkuu) | Kilosa Street,Ilala, Dar-es-Salaam |
06 | 0000006 | National League For Democracy(NLD) 21,Januari,1993 | Dr.Emmanue Makaidi (Mwenyekiti) Bw.Tozy E.Matwanga (Katibu Mkuu) | Sinza Madukani, Dar-es-Salaam |
07 | 0000007 | United Peoples' Democratic Party(UPDP) 4 Februari,1993 | Bw.Fahmi Nassor Dovutwa (Mwenyekiti) Bw.Hamadi M.Ibrahim (Katibu Mkuu) | 1.Magomeni Kagera, Dar-es-Salaam 2.Saateni Street,Zanzibar |
8 | 0000009 | National Reconstruction Alliance(NRA) 8 Februari,1993 | Bw. Rashid Mtuta (Mwenyekiti) Bw.Marsheed H.Hemed (Katibu Mkuu) | Bububu Street,Tandika Kilimahewa (Mtoni kwa Aziz Ali), Dar-es-Salaam |
9 | 00000011 | Tanzania Democratic Alliance(TADEA) 5 April 1993 | Bw. John Lifa Chipaka (Mwenyekiti) Bw.Juma Ali Khatibu (Katibu Mkuu) | Magombeni Kondoa Street, Dar-es-Salaam |
10 | 00000012 | Tanzania Labour Party(TLP) 21 Novemba,1993 | Mhe. Augustino Lyatonga Mrema (Mwenyekiti) Bw.Jeremiah Shellukindo (Katibu Mkuu) | Morogoro Road,Usalama Bus Stand Magomeni, Dar-es-Salaam |
11 | 00000013 | United Democratic Party(UDP) 24 Machi,1994 | Mhe. John Momose cheyo (Mwenyekiti) Bw. John Nathan Nkolo (Katibu Mkuu) | Kambangwa Street Mwananyamala,Kinondoni, Dar-es-Salaam |
12 | 00000053 | Demokrasia Makini (MAKINI) 15 Novemba,2001 | Bw. Obed Mshana (Mwenyekiti) Bw.Dominick Lyamchai (Katibu Mkuu) | Zakhem,Kibondemaji, Dar-es-Salaam |
13 | 00000056 | Chama cha Haki na Ustawi(CHAUSTA) 15 Novemba,2001 | Bw. James Mapalala (Mwenyekiti) Bibi Mwaka Lameck Mgimwa (Katibu Mkuu) | Morocco Drive in Oysterbay, Dar-es-Salaam |
14 | 00000057 | Democratic Party(DP) 7 Juni 2002 | Mch. Christopher Mtikila (Mwenyekiti) Bi. Georgia Mtikila (Katibu Mkuu) | Mchikichini,Soko la Ilala, Dar-es-Salaam |
15 | 00000058 | African Progressive Party of Tanzania (APPT-Maendeleo) 4 Machi 2003 | Bw. Peter Kuga Mziray (Mwenyekiti) Bw. Nziamwe Samwel (Katibu Mkuu) | Wibu Street,Kinondoni Dar-es-Salaam |
16 | 00000065 | Jahazi Asilia 17 Novemba 2004 | Bw. Amour Rajab Amour (Mwenyekiti) Bi. Jamila Abeid Salehe (Katibu Mkuu) | 1.Saaten JKU Road,Zanzibar 2.Yombo Street Karibu na Shule ya Msingi Madenge Temeke Dar-es-Salaam |
17 | 00000066 | Sauti ya Umma(SAU) 17 Februari 2005 | Bw. Paul Henry Kyara (Mwenyekiti) Bw. Ali B. Kaniki (Katibu Mkuu) | Shekilango Road,Kinondoni Dar-es-Salaam |
18 | 00000073 | Tanzania Farmers Party(AFP) 12 Novemba,2009 | Bw. Said Soud Said (Mwenyekiti) Bw. Rashid Ligania Rai (Katibu Mkuu) | 1.Chake Chake Wawi Pemba 2.Nasa Street,Tandika Temeke, Dar-es-Salaam |
19 | 00000079 | Chama cha Kijamii(CCK) 27 Januari,2012 | Bw. Constantine Akitanda (Mwenyekiti) Bw. Kassim I. Mtaalam (Katibu Mkuu) | Mbezi Beach Parking Building New Bagamoyo Road, Dar-es-Salaam |
20 | 00000080 | Alliance for Democratic Change(ADC) 28 Agosti,2012 | Bw. Said Miraji Abdallah (Mwenyekiti) Bi. Lidya Salanya Bendera (Katibu Mkuu) | Buguruni Malapa Street, Dar-es-Salaam |
21 | 00000081 | Chama cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA) 4 Juni,2013 | Bw. Hashim Rungwe (Mwenyekiti) Bw.Ali Omar Juma (Katibu Mkuu) | Kameruni Road Kijitonyama, Makumbusho market Dar-es-Salaam |
22 | 00000083 | Alliance for Change and Transparent(ACT-Tanzania) 2 Mei,2014 | Bw. Kadawi Lucas Limbu (Mwenyekiti) Bw. Samson Mwigamba (Katibu Mkuu) | Ubungo,National Housing, Opposite Njombe Hotel Dar-es-Salaam |
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments