TANGAZO KWA UMMA
Strabag International GmbH pamoja na wadau wengine wanapenda kutangazia umma na awtumiaji wa barabara ya Kawawa/Morocco kuwa, kipande cha makutano ya Kawawa na barabara ya Kinondoni kitafungwa tarehe 5 hadi 6 Juali 2014, kupisha ujenzi wa miundombinu ya mabasi yaendayo haraka.
Watumiaj wa barabara ya Kinondoni kuelekea Morocco na Magomeni wanashauriwa kutumia barabara ya Togo kupitia Karago kama njia mbadala na wale wanaotokea Morocco au Kawawa kuelekea Kinondoni Makaburini, wanashauriwa kutumia barabara ya Mtama kama inavyooneshwa kwenye ramani.
Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza.
TUNAJENGA KWA AJILI YENU.
![]() |
ramani |
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments