[wanabidii] KWANINI MABOMU ARUSHA ?

Tuesday, July 08, 2014
Arusha ndo centre of recruitment of potential terrorist, kuna viongozi wa dini wanapita wanawadanganya wazazi hasa familia maskini kwamba wanakwenda kuwasomesha watoto wao Kenya. Watoto wakifika Kenya wanashangaa kwamba mafunzo wanayopata ni karate, baadaye watoto hao hupelekwa Somalia kufanyiwa brainwashing na kufundishwa ugaidi. 

Kwa taarifa za ndani ni kwamba wako wengi sana na wanaamini watu wote wasioamini wanachoamini ni makafiri na kwa hiyo wanastahili kifo. 

It is time for the government to step up to confront recruiters otherwise there is more to come

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments