[wanabidii] KATIBA MPYA

Wednesday, July 23, 2014
Leo nimeshuhudia mjadara kwenye TV ya channel 5 majira ya saa kumi na mbili na kuendelea kidogo mjadara wa katiba mpya Mjumbe mmoja wa UKAWA akawa anajitahidi kutoa maelezo ya kina lakini binafsi sikupata nafasi ya kuuliza swali au kuchangia nikaona nishirikiane na wadau. Hebu nisaidieni hivi hii KATIBA MPYA ni  kwa ajili ya CCM au UKAWA au WANANCHI. Hebu mnisaidie tena hivi UKAWA ipo kwa sheria gani. Nisaidie tena hivi wanaoijadiri katiba wanajua kuwa Katiba umri wake ni miaka mingapi?

Share this :

Related Posts

0 Comments