Ndugu zangu ,
Moja ya masuala nyeti kwa nchi yetu ni hili la mabadiliko ya Tabia nchi .
Tumeona wafugaji na wakulima wakipambana kwa sababu ya tabia nchi .
Watu wanahama makazi na kujazana sehemu moja kwa sababu ya tabia nchi .
Miti inakauka vyanzo vya maji vinakauka inakuwa shida kweli kweli .
Napenda kupata maoni mbalimbali kuhusu suala hili haswa tunapoelekea kwenye awamu ya mwisho ya uandikaji wa katiba na uchaguzi mwaka 2015 .
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments