Tembelea www.acumen.org ili kujaza application form-tengeneza akaunti kisha ni vizuri ku-copy maswali na kufanyia pembeni kwa umakini bila haraka then uka-paste katika vijedwali vya majibu.
Wa-Tz wengi wamekuwa wakishindwa wakati wa phone interview kueleza kwa yakini desire(s) za kuleta mabadiliko kwa East Africa. Information sessions zinaendelea East Africa nzima. Kwa maelezo zaidi piga simu kwa Dr. Kahabi Isangula, Acumen Fellow Class of 2014 kwa namba 0782785595 (TZ only,no SMS please)
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments