[wanabidii] TAARIFA SAHIHI KUHUSU PICHA YA POLISI

Wednesday, June 11, 2014
Wakuu ,

Muda mfupi ulipita nimewashirikisha picha ya mwili wa askari aliyeuwawa maeneo ya Kimanzichana mkoa wa Dar es salaam na kuweka maneno kana kwamba ni tukio la mwanza .

Ukweli ni kwamba picha ni ya Askari aliyeuwawa kimanzichana mkoa wa Dar es salaam .

Mdau aliyenitumia ndio alikosea maelezo.

Naomba samahani kwa habari hiyo .



--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments