Tufuatilie. Mjadala huu.
Moja ambalo nimeli-note kutoka kwa Prof. Lipumba, anasema "masuala yenye uzito wa kisiasa ndiyo yanaangaliwa na kupiganiwa na serikali, kwa mfano rais akipanga ziara nje ya nchi hata kama ni ziara isiyo ya lazima na hata kama bajeti yake imekwisha, serikali itapambana na kupata bajeti hiyo popote na rais atakwenda ziara. Lakini sekta ya maji au elimu au nyingine muhimu kwa jamii hazipelekewi bajeti kwa wakati, na zikipelekwa huwa kiduchu na zile ambazo zimepungua serikali haizitafuti".
Prof. Lipumba anasisitiza kuwa "hayo yote yanafanywa kwa sababu ziara za Rais zina uzito wa kisiasa lakini sekta ya maji haina uzito wa kisiasa".
TAFSIRI YANGU;
Serikali ya CCM inashupalia masuala ya kisiasa tu na kuyapa uzito na kusahau masuala muhimu ya jamii nzima, hii inanikumbusha ile kauli ya Waziri wa CCM Mhe. Mramba "hata kama wananchi watakula nyasi, ndege ya Rais lazima inunuliwe".
-----------------------------------------------------
Julius Sunday Mtatiro,
Deputy Secretary General,
The Civic United Front (CUF),
Deputy Secretary General,
The Civic United Front (CUF),
Tanzania Mainland,
P.O Box 10979,
Dar Es Salaam - Tanzania.
P.O Box 10979,
Dar Es Salaam - Tanzania.
Office Tel; +255222862506,
Phone; +255717536759,
Email; juliusmtatiro@yahoo.com
Twitter; https://twitter.com/Julius_Mtatiro
Face book; https://www.facebook.com/julius.mtatiro
Website; https://www.cuf.or.tz
0 Comments