Wapendwa Watanzania wenzangu,
Nina ndugu yangu ana kijana wake amepata kifafa ukubwani akiwa na miaka 20. Ameugua toka mwaka 2011 na mpaka sasa hajapata matibabu ya kumponya. Alipata vipimo Muhimbili ikaonekana kuwa tatizo lake halitibiki ila aendelee tu kunywa dawa kila siku anapoenda kulala. Amekuwa akinywa hizo dawa na mara kadhaa amejaribu dawa za kienyeji na kuonyesha kupata nafuu lakini bado tatizo hujirudia.
Kibaya zaidi anategemea kujiunga na vyuo mwaka huu. Akiendelea kuwa na hali itakuwa vigumu sana kwa wenzake vyuoni. Najua ndani ya jukwaa hili haliharibiki neno. Naombeni msaada wenu kwa wale wanaoweza kujua wapi anaweza kupata dawa za kuweza kumtibu huyu wa ndugu yangu. Naomba tuwasiliane kwa 0787525396 kama kuna sehemu ungependa tujaribu.
Asanteni sana.
Mr. Faraja Kristomus
Department of Foreign Languages and Linguistics
University of Dar es Salaam
P.O.Box 35040, Dar es Salaam
Tanzania
Mobile: +255 787 52 53 96 / +255 717 086 135
"All human beings are equal except our beliefs, tribes and thinking, which are always accidents and never the essences of our humanity. We acquire them after getting out of the wombs of our mothers".

0 Comments