MENGI AZUIA WAARIRI WAKE KUANDIKA HABARI ZA KILANGO NA LUGOLA
mwenyekiti wa makampuni ya ipp REGINAD MENGI ambae yupo kwenye msuguano na wazir wa nishati na madini ,profesa SOSPETER MHONGO kwa kile mengi anachodai MUHONGO anazuia watanzania wasiruhusiwe kuwekeza katika vitalu vya gesi MENGI amehamishia vita hivyo kwa mbunge wa same mashariki ANNE KILANGO na mbunge wa mwibara KANGI LUGOLA.
Kwa mujibu wa vyanzo vya kuaminika toka ndani ya kampuni ya ipp media inayomilikiwa na MENGI imeeleza kuwa jnne ya wiki hii imeeleza kuwa mengi amewataka wahariri wa vyombo vyake kutochapisha na kutanganza habar zozote zinazomhusu kilango na lugola kwa sababu wabunge hao wameonesha wazi kuunga mkono Muhongo ambae hiv sasa inadaiwa ni adui wa mengi hata hivyo vyanzo hivyo vinalaani uamuzi huo wa mengi kwani unavunja haki za wananchi ya kupata habari kutoka kwa lugola na kilango.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments