[wanabidii] Breaking Newsssssss!! Bondia Mkongwe Iraki Huddu Msawila Afariki dunia

Friday, June 13, 2014



BREAKING NEWS !
BONDIA MKONGWE IRAKI HUDU MSAWILA AFARIKI DUNIA !
MAZIKO YATAFANYIKA MAKABURI YA KISUTU , DAR-ES-SALAAM,
SIKU YA JUMAMOSI 14.JUNI 2014



Aleyekuwa Bondia maarufu mkongwe IRAKI HUDU MSAWILA aka Kimbunga,amefariki dunia katika hospital ya Hindu Mandal jiji Dar-Es-Salaam,
Mkongwe huyo wa ngumi alewahi kutamba katika ulingo wa ndondi,alifikwa
na umauti baada ya kuugua kwa mda mfupi.marehemu IRAKI HUDU atazikwa
siku ya jumamosi 14.Juni.2014 saa 7.00 mchana katika makaburi ya Kisutu,Jiji
Dar-es-salaam,Maandalizi ya mazishi yanaendelea kufanywa nyumbani
kwa marehemu Buguruni Lozana,
Marehem Iraki Hudu alizaliwa mwaka 1965 Ujiji,Kigoma na kukulia mtaa wa
Kongo kariakoo,Dar-es-salaam amabako alipata elimu ya msingi na ya sekondari
Jijini Dar-es-salam,baadaye alijiunga na JKT alipotoka JKT alijiunga na Ubondia miaka ya 90s hadi 2000, Marehem Iraki Hudu na marafiki zake wa utotoni  akina Sensei Rumadha Fundi,kamanda Ras Makunja ni mojawapo wa vijana waliokuwa
na vipaji vya aina yake kutoka Uswahilini.
Marehem Iraki Hudu ameacha watoto watatu Dani Msawila,Bi.Mkumwena Hudu,na kijana mdogo Msawila.
Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi -Amin
Kwa mawasiliano mtoto wa Marehem Dani Hudu simu 0717795070

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments