Kufuatia hali ya kisiasa inayoendelea hapa nchini ambayo imemhusisha balozi wa Uingereza katika baadhi ya tuhuma za msingi za kuingilia shughuli za kiutawala za ndani, balozi huyo wa Uingereza amekwenda katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi ili kujadili na Katibu Mkuu wa Chama hicho kuhusiana na kadhia mbalimbali zinazoendelea baina ya Tanzania na Uingereza.
Balozi huyo ambaye aliwasili katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi zilizopo mtaa wa Lumumba Kariakoo na kupokelewa na Katibu Mkuu wa Chama Hicho Kampteni Mstaafu wa jeshi Ndg Abdulrahaman Kinana.
Tukio hilo la balozi huyo wa Uingereza kujisalimisha kwa Chama Cha Mapinduzi ni kiashiria cha imani yake kwa viongozi wa Chama hicho katika kutatua disputes mbalimbali za ndani na nje na hivyo kusaidia nchi kusonga mbele na kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia baina ya Tanzania na nchi nyingine.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments