[wanabidii] Ushauri wa bure kwa Wana Ukawa na mchungaji Kakobe!

Tuesday, May 13, 2014

1. Kakobe mwaka 1995 alitangaza Mrema ndio chaguo a Mungu na Atashinda urais Mrema akaangukia Pua - Kakobe na mrema yatonga Wakashindwa

2. Mwaka 2009 aliingia kwenye mgogoro mzito na shirika la umeme Tanesco akisema nguzo sisipite juu ya kanisa.... lake ameongea na yesu Umeme ukipita juu ya kanisa lake hautawaka ---- TANESCO wakapitisha na Umeme ukawaka - Kakobe akashindwa 
3. Miezi michache iliopita viwanja vya jangwani alitangaza kumpa mtihani Raisi wa jamuhuri akishinikiza asisaini mswaada wa sheria Mwisho raisi akasain Kakobe akashindwa 
4.Mwaka 2010 Mwishoni alipata kashifa nzito za kuiba mikufu ya dhahabu ya akina mama akaamua kukimbia tanzania na kuhamia uhamishoni -- Akaaibika.... sasa amerudi tanzania amekosa wadhamini wa kurusha vipindi vyaka vya dini star tv na channeli teni ana hamu ya kuuza sura Ameamua kudandia Hoja za Ukawa na serikali tatu .....

Kwa tunaojua hesabu za sikwensi and sirizi... Kakobe ni direct proposheno na kushindwa

Hivyo mpaka sasa ukawa imeshindwa na itashindwa kwani wameungana na Bingwa wa Kushindwa africa mashariki na Mchungaji kakobe

Waogopeni ukawa kama Homa ya dengu

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments