[wanabidii] UCHAGUZI WA MALAWI HAUNA FUNZO LOLOTE KWA WATANZANIA

Friday, May 23, 2014
Ifahamike kwamba
1. Joyce Banda na chama chake cha PP hajawahi kushinda uchaguzi wa uraisi ikumbukwe kuwa Joyce Banda aliapishwa kuwa raisi baada ya Kifo cha aliyekuwa raisi wa nchi hiyo Bingu Wa Mutharika
2.Peter Wa Mutharika Raisi mteule ni mdogo wake na Bingu Wa Mtharika aliyepata kuwa raisi wa Malawi hapa kuna harufu ya ufalme
3.ikumbukwe pia chama cha DPP cha Peter wa Mutharika ndicho kilishinda uchaguzi wa uraisi mwaka 2009 chini ya Bingu wa Mtharika na ndicho kimeshinda tena uchaguzi mwaka 2014 hapa ieleweke kwamba wananchi hawajabadilisha chama kama baadhi ya watu wanavyotaka kutuaminisha kwamba upinzani umeshinda Malawi
4. Vijana wengi hasa waCHADEMA wanafurahia matokeo ya uchaguzi wa Malawi wakidhani ni funzo kwa CCM wakisahau kuwa chama kilichoshinda uchaguzi uliopita ndo kile kile kilichoshinda tena mwaka huu na kubwa zaidi Mshindi wa uraisi ni mdogo wake na raisi aliyeshinda 2009 Bingu wa Mthalika ambapo miezi miwili tu iliyopita walipinga kwa nguvu zote uteuzi wa Wabunge wa CCM Ridhiwani kikwete na Geodfrey Mgimwa wakidai huo ni kama Ufalme kwani hapa kwa Peter Mutharika hakuna Ufalme??

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments