Sent from my iPad
Begin forwarded message:
From: "'Happiness Katabazi' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: May 20, 2014, 10:27:48 AM GMT+03:00
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] MTATIRO USIDHALILISHE WAANDISHI WA KIKE
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Kama Ni Mtatiro kweli umetoa hayo maoni, nimeishia kusikitika sana kuona kiongozi wa juu tena wa CUF, kutoa maoni ambayo hata mwanangu wa standard one hawezi kuyatoa adharani tena KWA maandishi Kama ulivyofanya wewe.Wewe umesema nimeandikiwa hiyo makala, taja jina la Huyo MTu aliyeniandikia ili binafsi na Jamii utamfahamu.Na ni kwanini Huyo MTu Alifikwa uamuzi wa kuniandiikia hiyo makala.Ina mAana Mhariri wa Tanzania Daima ni mpuuzi hadi akaipitisha hiyo makala?Kwanza wewe Mtatiro unanichukuliaje Mimi?unanichukulia Poa.Nikisema wewe ni miongoni mwa wanasiasa uchwara wa hapa nchini ambao kupitia comment yako umeonyesha umma unapenda kuongea na kuhumu bila kutoa vielelezo nitakuwa nimekosa?
Kwangu Mimi wewe nakuhesabu bado ni mwanasiasa wa Mageuzi kinda sana, mAana nimekuona tangu pale Unasoma UDSM unakuwa Kinara wa kuzusha VURUGU hadi MWISHO wa siku ukakamatwa ukawekwa Central ukapakizwa nyuma ya Defender ukiletwa Mahakama ya Kisutu KWA aibu ukawa umefanan Mkia na ukawa kila siku unamsumbua Boss Absalom Kibanda anitume niwe sikuja kuripoti Kesi yako ambayo MWISHO wa siku ilifutwa.
Jifunze kunikosoa KWA hoja na vielelezo ,Mimi siyo Kama Hao waandishi mliowaweka Kwenye makwapa yenu mnawaendesha KWA rimoti waandike mnavyotaka.Nimeripoti sana Habari za CUF tangu Enzi zile wewe hata ulikuwa utarajiwi kujiunga na CUF, shahidi yangu Mwandishiwa Gazeti la Mwananchi Joyce Mmasi, Waliokuwa walinzi wa MAALIM SEIF Enzi zile CUF ng'ang'ari Malibu kila Ijumaa mitaa ya kariakoo POLISI wanapata wanga CUF KWA mabomu a Machozi na malungu. Kama mwanaume kweli ,na kiongozi makini taja jina aliyeniandikia makala hiyo na KWA Malengo gani, na Huyo alivyomaliza kuiandika alikipatia KWA njia gani? Hivi wakitakiwa watoe wanaharakati, HIvi wewe KWA watu tunaofahamu historia ya Mageuzi na wanaharakati Utatoka wewe?Acha kudharau waandishi wa kike KWA kutuona HATUNA uwezo wa kuandika makala, tena nakuagiza tembelea blog yangu uone makala zangu na Habari zangu na uliza watu wanaonifahamu vizuri ndiyo watakueleza Happiness Katabazi ni mtu wa aina gani.Unajichumia dhambi bure KWA kunisingizia.Ni Mara ngapi wanaharakati hapa nchini wameshabikia mambo MWISHO wa siku ushabiki huo umeighalimu serikali?siyo Hao wanaharakati na wanasiasa uchwara walikuwa wakishinikiza serikali Isikilizwe Dowans, na mahakamani wakakimbilia huku wakiamua hawatashinda Kesi, Leo hii Dowans Imelipwa Fedha nyingi kutoka na majungu, uzushi ,uongo wa Nyie baadhi ya wanasiasa uchwara na wanaharakati uchwara ambao minaingia siasa chafu Kwenye maswala ya kitaaluma.
Mtatiro jitambuwe wewe ni kiongozi wa kisiasa, una heshima yako Katika Jamii, hivyo comment zako ziendane na heshima zako na usomi wako.Sisi wasomi wa Sheria hicho ulivyo Kukoment hapo tunakiona Hakina mantiki Katika jicho la Sheria.
Sent from my iPad
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments