[wanabidii] HATUKO TAYARI KUONA MALAWI IKIINGIA KWENYE MCHAFUKO

Saturday, May 24, 2014
Tuko makini kufuatilia Uchaguzi wa Malawi , kila kinachoendelea .

Kwanza walianza kwa kusitisha ajira ya Mkuu wa shirika la Utangazaji la Malawi , Mahakama ikamrudisha kazini .

Muda mchache ulipita wamefuta matokeo yote ya uchaguzi na kusitisha utangazaji wa Matokeo ya Uchaguzi .

Lakini tume ya uchaguzi ya Malawi inaendelea kutangaza matokeo na kukusanya mengine zaidi .

Hatutakuwa tayari kuona Jirani yetu malawi ikiingia kwenye machafuko kwa sababu ya watu wachache wanaongangania madaraka kwa nguvu .

--

Yona Fares Maro

Institut d'études de sécurité - SA


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments