[wanabidii] CHAMA CHA ACT- TANZANIA KUKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI ALHAMISI 15 MEI 2014

Wednesday, May 14, 2014

WITO KWA WAANDISHI WA HABARI:

Kesho Alhamisi tarehe 15 Mei 2014, uongozi wa Taifa wa ACT-TANZANIA, utaongea na waandishi wa habari kwenye press conference itakayofanyika kwenye makao makuu ya chama saa 5:00 asubuhi. Hii itakuwa ni press conference ya kwanza tangu chama kilipopata usajili wa kudumu na ya kwanza kufanyika kwenye ofisi za chama. Ofisi za makao makuu ya chama ziko Mtaa wa Ubungo NHC, mkabala na Royal Njombe Hotel (nyuma ya stand kuu ya mabasi ya mikoani Ubungo). Wote mnakaribishwa.

Samson Mwigamba,
Katibu mkuu wa muda.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments