Usajili Vitambulisho vya Taifa waanza Pemba
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kesho inatarajia kuanza kuwasajili wakazi wa Pemba baada ya kukamilisha zoezi hilo Unguja.
Wananchi waombwa kujitokeza kwa wingi katika zoezi hili wakiwa na nakala za viambatisho muhimu vinavyithibitisha uraia, umri na makazi.
Zoezi linahusisha ujazaji fomu na uchukuaji alama za vidole, picha na saini ya kielektroniki.
Mkurugenzi wa Vitambulisho vya Taifa Ofisi ya Vuai Musa Suleima (wapili kushoto) akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Pemba.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments