•Kuna document kuu tatu ambazo zinatakiwa kuwepo ili kuhalalisha Muungano
•Kwanza kuna mkataba wa Muungano (Union Charter) uliosainiwa na Nyerere na Karume tarehe 22-Apr-1964. Huu haujulikani upo wapi. Wapo wanaohisi kwamba upo Umoja wa Mataifa ambao walihitaji proof kwamba nchi zimeungana ili nchi mpya (Tanzania) itambuliwe kimataifa. Sasa inawezekana hakuna aliyefuatilia urudishwe.
•Pili, baada ya Nyerere na Karume kusaini mkataba, kila bunge lilipaswa kukutana kuridhia (to ratify) Muungano kwa kutunga sheria ya Muungano (Article of the Union). Bunge la Tanganyika walifanya hivyo (Sheria No 22 ya mwaka 1964) tarehe 25-Apr-1864 (bunge lilikutanishwa Jumamosi). Ila kilichopelekwa Dodoma kwenye Bunge la Katiba ni kama kimechakachuliwa. Niweka screenshot ya page ya kwanza na page ya mwisho. Signature za Nyerere nay a Pius Msekwa (aliyekuwa karani wa bunge la Tanganyika) zimechakachuliwa. Pia document inaonyesha kama imekuwa typed na computer wakati kipindi hicho (1964) hakukuwa na computer Tanzania. Computer ya kwanza ilikuwepo wizara ya fedha mwaka 1977.
•Kwa upande wa Zanzibar, bunge la Zenji (linaitwa "Baraza la Wawakilishi"), hakuna ushahidi kwamba walipata kukutana kuridhia muungano. Shamsi Vuai Nahodha alipata kuwa Waziri Kiognozi wa Zanzibar (cheo ambacho ni sawa na Waziri Mkuu). Anasema katika kipindi chake chote cha uongozi hajawahi kuiona sheria ya Muungano (Article of the Union) iliyopitishwa Zanzibar na Baraza la Wawakilishi.
•Inasemekana, upande wa Zanzibar, wao hawakuwa na Bunge wala Baraza lolote la Wawakilishi ukichukulia ilikuwa ni siku chache (kama siku 100) baada ya Mapinduzi na hakuna uchaguzi wa wajumbe wa baraza la wawakilishi uliokuwa umefanyika baada ya uchaguzi wa 1963 uliopigwa chini na Mapinduzi. Baraza la Mapinduzi la Zanzibar ndio lilikuwa likifanya kazi kama Bunge la Zanzibar na Baraza la Mawaziri. Hivyo Mkataba wa Muungano uliridhiwa na kupitishwa na Baraza la Mapinduzi. Isipokuwa kutokana na uzembe au kutokuwa makini kwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, tangazo la kuridhia Mkataba wa Muungano haukutolewa katika Gazeti la Serikali (Government Gazette) la Zanzibar.
•Kwa hiyo katika document 3 ni moja tu ambayo inapatikana lakini imechakachuliwa. Nani kachakachua? JUU YA NINI?
-- •Kwanza kuna mkataba wa Muungano (Union Charter) uliosainiwa na Nyerere na Karume tarehe 22-Apr-1964. Huu haujulikani upo wapi. Wapo wanaohisi kwamba upo Umoja wa Mataifa ambao walihitaji proof kwamba nchi zimeungana ili nchi mpya (Tanzania) itambuliwe kimataifa. Sasa inawezekana hakuna aliyefuatilia urudishwe.
•Pili, baada ya Nyerere na Karume kusaini mkataba, kila bunge lilipaswa kukutana kuridhia (to ratify) Muungano kwa kutunga sheria ya Muungano (Article of the Union). Bunge la Tanganyika walifanya hivyo (Sheria No 22 ya mwaka 1964) tarehe 25-Apr-1864 (bunge lilikutanishwa Jumamosi). Ila kilichopelekwa Dodoma kwenye Bunge la Katiba ni kama kimechakachuliwa. Niweka screenshot ya page ya kwanza na page ya mwisho. Signature za Nyerere nay a Pius Msekwa (aliyekuwa karani wa bunge la Tanganyika) zimechakachuliwa. Pia document inaonyesha kama imekuwa typed na computer wakati kipindi hicho (1964) hakukuwa na computer Tanzania. Computer ya kwanza ilikuwepo wizara ya fedha mwaka 1977.
•Kwa upande wa Zanzibar, bunge la Zenji (linaitwa "Baraza la Wawakilishi"), hakuna ushahidi kwamba walipata kukutana kuridhia muungano. Shamsi Vuai Nahodha alipata kuwa Waziri Kiognozi wa Zanzibar (cheo ambacho ni sawa na Waziri Mkuu). Anasema katika kipindi chake chote cha uongozi hajawahi kuiona sheria ya Muungano (Article of the Union) iliyopitishwa Zanzibar na Baraza la Wawakilishi.
•Inasemekana, upande wa Zanzibar, wao hawakuwa na Bunge wala Baraza lolote la Wawakilishi ukichukulia ilikuwa ni siku chache (kama siku 100) baada ya Mapinduzi na hakuna uchaguzi wa wajumbe wa baraza la wawakilishi uliokuwa umefanyika baada ya uchaguzi wa 1963 uliopigwa chini na Mapinduzi. Baraza la Mapinduzi la Zanzibar ndio lilikuwa likifanya kazi kama Bunge la Zanzibar na Baraza la Mawaziri. Hivyo Mkataba wa Muungano uliridhiwa na kupitishwa na Baraza la Mapinduzi. Isipokuwa kutokana na uzembe au kutokuwa makini kwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, tangazo la kuridhia Mkataba wa Muungano haukutolewa katika Gazeti la Serikali (Government Gazette) la Zanzibar.
•Kwa hiyo katika document 3 ni moja tu ambayo inapatikana lakini imechakachuliwa. Nani kachakachua? JUU YA NINI?
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments