[wanabidii] Hongera Mrema kwa kusema ukweli kuhusu Serikali 2

Tuesday, April 15, 2014
Mhe. Mrema, Mbunge wa Vunjo amesema akiwa kama mpinzani wa kweli aliyefanya kazi kama afisa Usalama wa Nchi hii, Waziri wa Kazi, Waziri wa Mambo ya Ndani na Naibu Waziri Mkuu Mstaafu anasema mfumo utakaoiweka salama nchii ni mfumo wa Serikali 2 na sio 3.

Binafsi nampongeza kwa kusema ukweli bila kujali yeye anatoka chama cha upinzani, na ni pigo kwa wale wanaodhani kuwa wanaotaka mfumo wa Serikali 2 ni CCM tu sio kweli, ukweli ni kuwa wananchi wengi wa Tanzania wanataka Serikali 2 na sio 3.

Wanachotaka Watanzania ni maendeleo ya kiuchumi na kijamii na sio idadi ya Serikali ambazo ni dhahiri zitaongeza gharama za uendeshaji na kupunguza fedha ambazo zingeenda moja kwa moja kwenye maendeleo ya wananchi.

Watanzania wote tujitokeze kwa wingi kuunga mkono jitihada za kuimarisha Muungano wetu.

Phares Magesa


Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments