[wanabidii] YAHUSU: NATAMANI MAMA YANGU ANGEKUWA WAZIRI, LAKINI AWE HAI, ASIFE

Wednesday, March 12, 2014
Kwa mtindo wa Tanzania, hata kama kwa vigezo vya uwezo, naamini nchi nyingine bado wanatushangaa na utawala wetu wa kichifu.Nimefurahishwa sana na anayesaidia kumnadi mgombea wa CHADEMA, kuwa waachane na utawala wa kichifu.Maana,inatia hasira.Hivi watu ml44, bado wote tuna mawazo ya uchifu.Huku mtoto wa aliyekuwa waziri wa wizara nyeti, huku mtoto wa rais, bado wengie taya ri baba zao walikuwa wakuu wa vyama.Na hata Bunge maalumu la katiba, tayari yumo mtoto wa Malecela.Hawakuona inatosha jina la Malecela liwe moja huko Bungeni

Watanzania tumejisahau sana , tunyanyuke usingizini

Salha Bakari

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments