Kwa heshima kubwa na unyenyekevu,bendi ya muziki wa dansi "Ngoma Africa Band" yenye makao nchini Ujerumani,inatoa salam maalumu za kuwapongeza,
Mama zetu,Dada zetu,Shangazi zetu akina mama wote katika kusherehekea siku
ya WANAWAKE duniani, salam hizi maalumu kutoka kwa watoto wenu Ngoma Africa band zina wito kwa walimwengu wote kwa usemi huu "HAKUNA MTAKATIFU au MTUKUFU hapa duniani hasiyezaliwa na MWANAMKE (Mama) "
Siku ya " WANAWAKE" oyeeee! Oyeeeee!
sikiliza muziki na burudani at www.ngoma-africa.com
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments