[wanabidii] MWALIKO WA SEMINA ZA PASAKA

Monday, March 10, 2014


S E M I N A  Z A  P A S A K A  KWA
V I JA NA
Miracle River - Mto wa Muujiza DSM
Hata siku ya mwisho, siku ile kubwa ya sikukuu, Yesu akasimama; akapaza sauti yake akisema, Mtu akiona kiu, na aje kwangu anywe. Aniaminiye mimi, kama vile maandiko yalivyonena, mito ya maji yaliyo hai itatoka ndani yake. Yohana Mtakatifu 7:37-38
LENGO LA SEMINA: Mungu anawaiteni  mnywe maji safi, maji matakatifu  yapatikanayo  kwake,  na kuyashiriki  vile vile. Amewaiteni ninyi  muinuliwe, muwe na furaha na  kuimarishwa kwa ajili ya kusudi lake. Mnahitajiwa  kunywa  mara kwa mara  maji yake ambayo  yatawapeni nguvu yake kwenu.
Vile vile natakiwa  kadhalika  kuyatoa maji  hayo kwa  wengi  kama Mungu atakavyotaka. Ni Mungu aliye Hai  atakayewawezesha kuwagawia  watu  usafi  wa maji  awekayo  ndani yenu. Mungu hatakoma kuwapeni ninyi  maji  yatakayo  wawezesheni ninyi  kuishi. Nanyi kadhalika mtakuwa na maji ya kuwapatia wengine ambao wana kiu.
NANI AHUDHURIE: Vijana wote wa Kike na Kiume miaka 18-45 wenye maono ya kumtumikia Mungu katika maisha yao.
Awamu ya Kwanza: Tarehe 26/03 hadi 28/03/2014
Awamu ya Pili:  Tarehe 16/04 hadi 18/04/2014
UKUMBI: ACMTC - Mto wa Muujiza, Temboni, Mtaa wa Upendo, DSM
 
 
 
Miracle River - Mto wa Muujiza
R  A T I B A  Y A  M A F U N Z O  Y A  U M I S H E N I TAREHE  26-28/3 NA 16-18/4/2014
 
SN
SIKU/TAREHE
MUDA
SOMO/SHUGHULI
MHUSIKA
1.
DAY 1
16/4/2014
2:00-3:00
Kujisajili na Kufungua kwa Sala na Toba
Wote
3:00-3:30
Kujitambulisha
Wote
3:30-4:00
Uchaguzi wa Viongozi wa Semina na Sekretarieti
Wote
4:00-4:30
Matarajio ya Washiriki
Mwezeshaji
4:30-5:00
Kanuni za Semina
Wote
5:00-5:30
M A P U M Z I K O  Y A  C H A I
Wote
5:30-6:00
U F U N G U Z I  R A S M I
Mgeni  Rasmi
6:00-7:00
Madhumuni ya Semina
Mwezeshaji
7:00-8:00
M A P U M Z I K O Y A C H A K U L A
Wote
8:00-9:00
Kuinua Vijana wa Kiroho
Mwezeshaji
9:00-10:00
Vijana kama Taifa la leo na Kanisa
Mwezeshaji
10:00-10:30
Tathmini na kufunga kwa sala
Mwenyekiti
2.
DAY 2
17/4/2014
2:00-2:30
Kufungua kwa Sala na Toba
Wote
2:30-3:00
Recap day 1
Sekretarieti
3:00-4:00
Tatizo la Vijana katika Kanisa la leo
Mwezeshaji
4:00-4:30
M A P U M Z I K O  Y A  C H A I
Wote
4:30-5:30
Jinsi ya  Kijana kuwa na Msimamo katika Kristo
Mwezeshaji
5:30-6:00
 K A Z I  Z A  V I K U N D I
Wote
6:00-6:30
 Mawasilisho na Mjadala
Wote
6:30-7:00
Kupanda na Kuvuna katika maisha ya Ujana
Mwezeshaji
7:00-8:00
M A P U M Z I K O Y A C H A K U L A
Wote
8:00-9:00
Kuanzisha Timu za Vijana wa Kiroho
Mwezeshaji
9:00-9:30
K A Z I  Z A  V I K U N D I
Wote
9:30-10:00
Mawasilisho na Mjadala
Wote
10:00-10:30
Tathmini na Kufunga
Mwenyekiti
3.
DAY 3
17/4/2014
2:00-2:30
Kufungua kwa Sala na Toba
Wote
2:30-3:00
Recap day 2
Sekretarieti
3:00-4:00
Ahadi ya Kijana ya kujitolea kumtumikia Mungu
Mwezeshaji
4:00-4:30
M A P U M Z I K O  Y A  C H A I
Wote
4:30-5:30
Jinsi Kijana anavyoweza Kumpeleka Yesu duniani kote
Mwezeshaji
5:30-6:00
 K A Z I  Z A  V I K U N D I
Wote
6:00-6:30
 Mawasilisho na Mjadala
Wote
6:30-7:00
Jinsi ya Kijana Kusifu na Kuabudu katika uzuri wa Utakatifu
Mwezeshaii
7:00-8:00
M A P U M Z I K O Y A C H A K U L A
Wote
8:00-9:00
Jinsi ya Kijana kutengeneza  madhabahu ya kusifu na kuabudu
Mwezeshaji
9:00-9:30
K A Z I  Z A  V I K U N D I
Wote
9:30-10:00
Mawasilisho na Mjadala
Wote
10:00-10:30
Sherehe ya  Kufunga Semina na Vyeti kwa washiriki
Mgeni Rasmi
 
Gharama: Tshs. 15,000/= kwa siku x siku 3= Tshs 45,000/= kwa Chai asubuhi, Chakula cha Mchana na Viburudisho tu.
Gharama huzihusishi: malazi, chakula cha jioni na usafiri.
Kujisajili wasiliana:  Frank Materu Voda - 0754 350 752, Tigo-0715 350752, Airtel- 0782-350 752
 
 
 

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments