[wanabidii] CHADEMA YAZIDI KUPUKUTIKA, MWINGINE TENA AKABIDHI KADI NA KUJIUNGA NA CCM

Thursday, March 06, 2014
Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kushoto),akipokea kadi toka kwa mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Musa Ramadhani , ambaye alikua Mwenyekiti wa kata ya 14 Temeke na Mwenyekiti Vijana wa chadema Wilaya amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM),Dar es Salaam mwishoni mwa wiki .

Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbas Mtemvu (kushoto),akipokea kadi toka kwa mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Musa Ramadhani , ambaye alikua Mwenyekiti wa kata ya 14 Temeke na Mwenyekiti Vijana wa chadema Wilaya amehamia Chama cha Mapinduzi (CCM),Dar es Salaam mwishoni mwa wiki


Mbunge wa Jimbo la Temeke Abbs Mtemvu akianyesha kadi ya mwanachama huyo na akiwa anavishwa Tisheti na Katibu Uchumi kata ya 14 Temeke, Celina Tilya

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments