Fw: [wanabidii] BURIANI RC-MARA, JOHN TUPPA

Wednesday, March 26, 2014

Mzee John Gabriel Tuppa, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara hatunaye Duniani sasa. Mzee wetu katangulia 
mbele za Haki. Sisi tulobaki na hasa wale tuliofanya naye kazi, ni ukweli usiopingika kwamba Mzee Tuppa alikuwa ni miongoni mwa viongozi wachache wenye upeo mkubwa na wenye uadilifu wa hali ya juu katika zama hizi za sasa hapa Nchini. Mzee Tuppa, kama fani yake ilivyokuwa, alikuwa ni mwalimu mzuri na kigezo sahihi kwa watendaji wote wa Umma juu ya namna mtumishi wa Umma anapaswa kuonekana na kuihudumia jamii.

Baadhi ya sifa zake ninazozifahamu ni pamoja na kupinga ubaguzi wa aina zote, kukemea unyanyasaji wa Watumishi hasa wale wa daraja za chini na alipenda kila mtu apate haki yake tena kwa wakati. Mzee Tuppa alikuwa mwadilifu wa hali ya juu, aliichukia Rushwa kwa vitendo. Yeye pia alikuwa ni miongoni mwa viongozi wachache ambao wakitoa Ahadi hutekeleza na kufuatilia utekelezaji wake. Huu ni mfano wa viongozi tunaowahitaji kipindi hiki ili tuweze kufika kwenye "TANZANIA YA AHADI". Hakika Mkoa wa Mara na Taifa kwa ujumla tumepoteza "mchapakazi", tumepoteza "Jembe"!

Dhima yetu juu yake ni kuiga yale yote mazuri aliyotufundisha katika utendaji wa Umma bila kuacha hata kipengele kimoja, kujituma zaidi kazini na kuijali jamii kwanza kabla ya nafsi zetu. Kubwa zaidi, TUMWOMBEE kila mtu kwa imani yake ili Bwana ampokee salama katika ufalme wake! AMEN

Mokili 
On Tuesday, March 25, 2014 4:25 PM, kailima kombwey <kailima.kombwey@googlemail.com> wrote:
Innalilah wainnairah rajiun.
On Mar 25, 2014 1:45 PM, <magesa@hotmail.com> wrote:
Natoa salamu za Pole kwa familia, ndugu, jamaa na wakazi wote wa Mara kwa msiba mkubwa wa ghalfa wa Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. John Tuppa.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi

Amina !

Phares Magesa.

Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments