kwa maoni yangu mbunge wa bariadi mashariki Andrew Chenge ni bora kulko Samwel Sitta kuongoza bunge la katiba.
sababu ni kwamba Sitta ni waziri kwa hiyo ni mtu w a serikali wapinzani w atalalamika, pili Sitta anachembe chembe za kugombea urais hivyo mawazo yake yatalenga kusimamia sifa za mgombea ambazo anazoyeye huku akisimamia vipengele ambavyo vinawanyima wenzake hak ya kugombea.
hatuhitaji katiba kama hiyo wala spika kama huyo, Chenge hana nia ya urais atasimamia katiba ya wote , itapendeza kama chenge atasimamia katiba inayolinda dola sio katiba inayoshabikia mapinduzi au kuanguka kwa dola jambo analoweza kulifanya Sitta.
kwasababu hadi sasa Sitta hajawa na uhakika wa chama gani atagombea hivyo ni rais kusimamia katiba inayoegemea upinzani dhidi ya dola jambo ambalo litasababisha chama kingine kungia madarakani serikali itaingia gharama za kubadili tenda katiba .
DEMOKRASIA BILA NIDHAMU NI UASI.
0 Comments