[wanabidii] naiomba mahakama izuie uchaguzi wa Kalenga

Thursday, February 13, 2014
natarajia kufungua kesi kuzuia uchaguzi wa jimbo la KALENGA IRINGA hadi pale tume ya uchaguzi itakapokuwa tayari kuitisha uchaguzi wa jimbo la chalinze  kwa wakati mmoja .

majimbo hayo mawili yameondokewa na wabunge wake kwa muda wa mwezi mmoja hivyo kuitisha uchaguzi kwa nyakati tafauti ni gharama kwa walipa kodi. nitatumia mfano wa uchaguzi wa kata 27 , kwani madiwani wake walifariki kwa siku moja?

naomba wakili aliyetari kusimamia kesi hii tuwasiliane

Share this :

Related Posts

0 Comments