MKUTANO MUHIMU KWA WACHORA KATUNI KUHUSU MAPENDEKEZO YA WASANII KATIKA RASIMU YA KATIBA MPYA.
Ewe mchoraji katuni, mkongwe na chipukizi, tarehe 25.02.2014, Jumanne, saa 9.30 alasiri, Vijana Social Hall, Kinondoni, DSM, kutakuwa na mkutano wa kujadili mapendekezo ya wasanii kwenye Rasimu ya Katiba.
Taarifa ya hatua iliyofikiwa itawasilishwa na Mdau John Kitime. Usikose.
Sambaza ujumbe huu kwa wengine. Kwa taarifa zaidi 0713 262 902 (Nathan Mpangala)
-- Ewe mchoraji katuni, mkongwe na chipukizi, tarehe 25.02.2014, Jumanne, saa 9.30 alasiri, Vijana Social Hall, Kinondoni, DSM, kutakuwa na mkutano wa kujadili mapendekezo ya wasanii kwenye Rasimu ya Katiba.
Taarifa ya hatua iliyofikiwa itawasilishwa na Mdau John Kitime. Usikose.
Sambaza ujumbe huu kwa wengine. Kwa taarifa zaidi 0713 262 902 (Nathan Mpangala)
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments