[wanabidii] MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII.

Saturday, January 18, 2014
Comrades;
Naomba msaada wa taarifa tafadhali.
Kulikuwa na mchakato wa mabadiliko ya fomula ya mifuko ya hifadhi ya jamii,kwamba Mifuko yote iwe na formula moja inayofanana,naomba mwenye taarifa imefikia wapi anijuze tafadhali.
 
Reuben

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments