[wanabidii] kuna godown mbez beach na plot

Friday, January 17, 2014
salaam jamani
Deal nilizonazo ni kama ifuatavyo
1: Tunakodisha Godown , lina ukubwa wa sqm 1500 na bei ni maelewano
 2: Nyumba ya kizani kidogo bei mil 20 tu, ipo mbezi mwisho mbele ya shule ya msingi mbezi,  Nyumba tunazo za kuuza kwa bei nafuu sana zingine ni sawa na bure, tunayo ya kuanzia mil 35 hadi mil 900 kama ifuatavyo, maeneo yalipo na bei; nyumba nzur na plot kuubwa tu  haijaisha vzr ipo mbezi maeneo ya luguruni km moja toka moro rd bei mil 35 tu, kibamba mil 40, mbezi makabe kuna nyumba kuubwa ya mi l 55 na ina eneo kubwa sana kimara suka haijaisha vzr kali san mil 45, suka imeisha mil 60, temboni kali ina hadi underground kuuubwa na eneo kuuubwa sana mil 60, korowe mil 55, mbezi luis mil 55,
3 Nyumba za bei ya kati, mbweni kali sana ina hati mil 90, sinza ghofa kali ni la kuhamia tu bei mil 260, ubungo nyuma ya ubungo plaza nyumba 2 na eneo za nhc zamani walizouza bei mil 200,jirani na tanica  nyumba za kuhamisha watu bei  mil 300,sina madukani ipo kali ya kuhamia tu bei mil 200, mbezi beach ipo ya mil 300 hadi 500.
4: Maghorofa, mikocherni yapo ya mil 900, 600 na bn 1.2, mbezi beach yapo pia ya mil 600 hadi 900 zote zimeisha ni za kuhamia tu mengine yana hadi pool ndani ya plot.

Mashamba
mashamba yapo maeneo mbali mbali yapo ya laki 5 hadi mil 1.2 kwa heka, maeneo ya mkuranga, msata, kijiji cha boko ambako kipo kibaha mbele ya tumbi zipo za laki 5 kwa eka na ni pazur kwa kilimo cha ufuta, ruvu pia yapo mashamba ya kukodi kila eka inakodishwa kwa laki 3 tu.

PLOTS
Tunazo  plots za kuuuza almost maeneo yote hapa jijini, its just you to be seriously need upoteze muda wako kunitafuta nikupeleke na hautaujutia muda wako, utapata bei nafuu sana; zipo segerea eka 5 kwa mil 100, mbezi maeneo ya luguruni kuna 30 kwa 20 kwa mil 35, kuna zizizogawanywa kwa ajili ya ujenzi mbedle ya kanisa la lutheran luguruni kila kipande ranges kutoka mil 7 hadi 9 kutegemeana na ukubwa panafaa sana kwa ujenzi wa makazi, pia kama hayo yapo tegeta a, bei inafanana, mbezi juu, bunju , suka  , msumi bei nafuu kidogo had mil 5 unapata, msakuzi zipo za mil 4 nyingi sna

nawatakia jion njema na mfanye maamuzi sahihi sasa kwa kunipigia simu and pick one for you
mbarikiwe
cell 0652 314181

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments